Miss Tanzania 2010, Genevieve Emmanuel (katikati)akipunga mkono, akiwa na mshindi wa tatu, Consolata Lucas (kushoto) na mshindi wa pili Gloria Mwanga baada ya matokeo kutangazwa
Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom,Dietlof Mare (kushoto) akikabidhi funguo ya gari aina ya Hyundai i10 kwa mrembo wa Vodacom Miss Tanzania 2010,Genevieve Emmanuel mara baada ya kunyakua taji la urembo huo usiku wa kuamkia leo katika ukumbi wa Mlimani City,jijini Dar.
Washiriki wa vodacom missTanzania 2010
MC's waliosherehesha Miss TANZANIA 2010
Jokate mwigelo na Taji Liundi kushoto
AY akiwa stejini
Dancer wa THT wakifanya vitu vyao
Vodacom Miss Tanzania aliemaliza muda wake,Miriam Gerald (shoto) akimvisha taji Vodacom Miss Tanzania 2010,Genevieve Emmanuel
Mwakilishi wa Bodi ya Utalii,Dr. Aloyce Nzuki akikabidhi taji kwa mshindi wa Utalii,Salma Mwakalukwa.
Meneja wa Bia ya Redd's,Kabula Nshimo (shoto) akiwa na Balozi wa Redd's,Consolata Lukosi mara baada kumtangaza
Wanyange walioingia tano bora
Warembo walioingia kumi bora
Baadhi ya warembo wakipita jukwaani na vazi la ubunifu
Hapa wakionyesha vazi la ufukweni
warembo wakitoa shoo ya ufunguzi
Mwasiti na THT wakiwakilisha
Wadau mbalimbali wa tasnia ya urembo wakishuhudia tukia zima
TMK Wanaume nao ndani ya jukwaa moja na Wahu kutoka kenya
Vilevile Mataluma naye hakuachwa nyuma