26 August, 2010

Thamani ya mtu

Thamani ya mtu ni utu na wala si mavazi,elimu aliyonayo,kipato chake katika jamiii inayomzunguka,kama mtu huyo hana utu basi hata jamiii inayomzunguka haitauona umuhimu wa mtu huyo katika jamii.
Thamai ya mtu vilevile ni upendo kwa jamii yake vievile kuwa muelewa wa mambo katika jamii yoyote ile na sio kujifanya wewe ni mwelewa zakuliko wote.Kabla ya kufanya hivyo soma jamii husika ikoje ndiyo uanze maamuzi yako juu yake

No comments:

Post a Comment

WHAT IS UR IDEAS

pre{background:#efefef;border:1px solid #A6B0BF;font-size:120%;line-height:100%;overflow:auto;padding:10px;color:#000000 }pre:hover {border:1px solid #efefef;}code {font-size:120%;text-align:left;margin:0;padding:0;color: #000000;}.clear { clear:both;overflow:hidden;}