31 August, 2010
Utajiri
Utajiri una mvuto wa kipekee kwa binadamu.Lakini matajiri wa mali za duniani wamo katika hatari ya kuvutwa nazo,wakijaribiwa na tamaa yao wenyewe.wakikubali kushikamana na mali zao,tokeo lake ni mauti.Je lipi jema kuwa tajiri au masikini?
30 August, 2010
is it you
sometimes i dont know what people think of when it comes to love,they act strange,wild,crazy about it.Is it right or wrong? i dont know i think the anser is for you to experience the real thing of love then you will give me the answer,if u already do that good for you coz atleast you know wat it feel like to hurt ,to love and beang hurt by someone you love.dont take too much energy on that its just useless for your health
Labels:rudebway
rude bway
26 August, 2010
Thamani ya mtu
Thamani ya mtu ni utu na wala si mavazi,elimu aliyonayo,kipato chake katika jamiii inayomzunguka,kama mtu huyo hana utu basi hata jamiii inayomzunguka haitauona umuhimu wa mtu huyo katika jamii.
Thamai ya mtu vilevile ni upendo kwa jamii yake vievile kuwa muelewa wa mambo katika jamii yoyote ile na sio kujifanya wewe ni mwelewa zakuliko wote.Kabla ya kufanya hivyo soma jamii husika ikoje ndiyo uanze maamuzi yako juu yake
Thamai ya mtu vilevile ni upendo kwa jamii yake vievile kuwa muelewa wa mambo katika jamii yoyote ile na sio kujifanya wewe ni mwelewa zakuliko wote.Kabla ya kufanya hivyo soma jamii husika ikoje ndiyo uanze maamuzi yako juu yake
WITHOUT GOD YOUR NOTHING
Sometimes rememberring where you came from and who gives you life its a great thing you can ever done in your life just by saying "thank you GOD"
or
oh! Lord
have mercy
oh! Allah!
have mercy
I pray to you,have mercy in me allah!have mercy Lord
the helpless will find support,the drawning will find shores.
The storm will subside at once ,at the gasture from you.
If you bestow your kindness upon us,we shall be delivered of your misiries
oh! Lord
have mercy
oh! Allah!
have mercy
You can do that in the language that you can comunicate with God
23 August, 2010
05 August, 2010
Subscribe to:
Posts (Atom)