13 September, 2010

Hatimaye Tanzania yapata mnyange wake on saturday pale milimani city hall

Genevieve Emanuel (Vodacom miss Tanzania 2010) wa Chang'ombe Temeke akiwa na mshindi wa pili na watatu pamoja na washiriki wengine 


Miss Tanzania 2010, Genevieve Emmanuel (katikati)akipunga mkono, akiwa na mshindi wa tatu, Consolata Lucas (kushoto) na mshindi wa pili Gloria Mwanga baada ya matokeo kutangazwa

 
Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom,Dietlof Mare (kushoto) akikabidhi funguo ya gari aina ya Hyundai i10 kwa mrembo wa Vodacom Miss Tanzania 2010,Genevieve Emmanuel mara baada ya kunyakua taji la urembo huo usiku wa kuamkia leo katika ukumbi wa Mlimani City,jijini Dar.



 
Washiriki wa vodacom missTanzania 2010 

MC's waliosherehesha Miss TANZANIA 2010
Jokate mwigelo na Taji Liundi kushoto


 AY akiwa stejini


Dancer wa THT wakifanya vitu vyao

Vodacom Miss Tanzania aliemaliza muda wake,Miriam Gerald (shoto) akimvisha taji Vodacom Miss Tanzania 2010,Genevieve Emmanuel

Mwakilishi wa Bodi ya Utalii,Dr. Aloyce Nzuki akikabidhi taji kwa mshindi wa Utalii,Salma Mwakalukwa.


Meneja wa Bia ya Redd's,Kabula Nshimo (shoto) akiwa na Balozi wa Redd's,Consolata Lukosi mara baada kumtangaza


Wanyange walioingia tano bora


Warembo walioingia kumi bora


Baadhi ya warembo wakipita jukwaani na vazi la ubunifu


 Hapa wakionyesha vazi la ufukweni


warembo wakitoa shoo ya ufunguzi

Mwasiti na THT wakiwakilisha

Wadau mbalimbali wa tasnia ya urembo wakishuhudia tukia zima


TMK Wanaume nao ndani ya jukwaa moja na Wahu kutoka kenya



Vilevile Mataluma naye hakuachwa nyuma

pre{background:#efefef;border:1px solid #A6B0BF;font-size:120%;line-height:100%;overflow:auto;padding:10px;color:#000000 }pre:hover {border:1px solid #efefef;}code {font-size:120%;text-align:left;margin:0;padding:0;color: #000000;}.clear { clear:both;overflow:hidden;}